Social Icons

Wednesday, August 17, 2011

UMESHAWAHI KUFIKIRIA HILI????


Mimi huwa nafikiria sana hasa kwa maisha yetu haya wana Tanzania sijui kama tunaweza kuwa fiti kiasi hiki.Najua mtakua mnajiuliza nazungumzia nini leo....Ni kwamba katika pitapita zangu kwenye mitandao nimekutana na picha ya mwanamama Halle Berry akiwa na miaka 45 sasa na pia ni mama lakini ameweza kujiweka vizuri kiasi kwamba umri wake na mwili wake vina utofauti mkubwa sana.

Angalia picha zake za hivi karibuni.......Hapa nijuzi tu alipokua anasherehekea siku yake ya kuzaliwa
Halle Berry na bintie siku ya birthday yake ambayo huiadhimisha kila tarehe 14/08 kila mwaka

Halle Berry , Bintiye Nahla na mpenzi wake anaejulikana kwa jina la Gabriel Aubry

1 comment:

  1. Joy .. ndio faida ya mazoezi na kuchagua chakula chenye faida mwilini, sasa wewe unakula sekela za kariakoo kila siku unategemea nini??

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...