Social Icons

Thursday, October 20, 2011

IDEAS ON HOW TO DECORATE YOUR HOUSE INTERIOR & OUTDOOR


KAZI NI KWAKO KUPENDEZESHA MJENGO WAKO

4 comments:

 1. Nimependa hiyo dizaini ya picha ya 2 nitakopi miee nae kwangu kuwe kwa kisasa tatizo bongo vibaka sijui itakuaje kuviacha nje si ndo watajibebea.

  ReplyDelete
 2. iyo picha ya kwanza na vumbi la bongo looh,nitaweka kwangu lakini ctaki jiran akaye atachafua,ataruhusiwa mtu aliye msafiii tuu,hahahaha

  ReplyDelete
 3. Picha ya tano nimeipenda.. rangi zimepangiliwa!

  ReplyDelete
 4. mwenzangu mambo hayo ulaya bongo kulivyo na vumbi si vitabadilika rangi? labda wanaokaa maeneo ya uzunguni kama masaki uko na ma-obey

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...