Social Icons

Thursday, October 20, 2011

HAPPY BIRTHDAY GEOFREY JUNIOR

Jofrey Junior ametimiza miaka 7 tangu kuzaliwa leo
***Happy Birthday Junior***

Junior akiwa na mama yake....Hongera rafiki yangu umekuza Mungu azidi kukutia nguvu

Jnr akiwa katika pozi!!

MAJOY BLOG INAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA SIKU HII KUBWA KWAKO NA KWA MAMA YAKO KATIKA KUMBUKUMBU HII NZURI YA KUZALIWA.HONGERA HILDA BEST YANGU MUNGU AZIDI KUKUTUNZIA NA AKUTIE NGUVU KATIKA KILA JEMA UTALOTENDA ILI UMLEE VIZURI JUNIOR.

With Love,

Majoy

2 comments:

  1. Mungu amjalie mwanangu wa pekee yote yaliyo mema katika maisha yake na mwisho wa sku na yy aje awe mwanaume shupavu mwenye kujua wajibu wake katika ulimwengu huu. Nakupenda sana na nitajitahidi kadri niwezavyo kuhakikisha nakufikisha mahali pazuri nikimba na msaa wa Mwenyezi Mungu. Nakupenda Junior Wangu

    ReplyDelete
  2. Happy birthday Junior hongera mama ake Junior una mtoto mzuri Mashallaaahh

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...