Social Icons

Sunday, October 9, 2011

SALAAM ZA J2

JUMAPILI NJEMA WADAU WANGU WA MAJOY.KILA LA KHERI KWA LOLOTE LA KHERI MTAKALOFANYA LEO LIFANIKIWE .POLE KWA WOTE AMBAO WANAPITIA KATIKA MAGUMU YA MAISHA KAMA UGONJWA,MSIBA  NA LOLOTE LILE AMBALO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE LIMEKUFANYA UKOSE FURAHA  LEO. USIKATE TAMAA ZIDI KUOMBA MUNGU NI MWEMA ATATENDA ZAIDI YA MATARAJIO YAKO. NAWAPENDA SANA. MUWE NA SIKU NJEMA.

1 comment:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...