Social Icons

Tuesday, October 18, 2011

WHAT DO U PREFER FOR A WEDDING DRESS......WHITE OR OFF WHITE(IVORY)

OFF WHITE OR IVORY

WHITE
Swali lipo hivi:- Ungependa kuvaa gauni lenye rangi gani kwenye harusi yako au kama ukiombwa ushauri kuhusu rangi ya gauni la harusi kati ya hizo mbili hapo juu utashauri vipi.
Na je hizi rangi zina maana yoyote ya lazima kuzingatiwa au lah!
Asante mdau wangu nathamini mchango wako wa mawazo kwani nami naelekea huko nitafaidika kupitia mchango wako.

Majoy

2 comments:

  1. For me off-White is so sweet, they look different n cool..... Aminia Majoy weeee

    ReplyDelete
  2. Hilda thanks for ur comment...i appreciate

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...