Social Icons

Wednesday, October 19, 2011

Baadhi ya wacheza mpira wa miguu wa kike barani Ulaya

Umeshawahi kuangalia mpira wa miguu wa wanawake?? kama bado jitahidi upate muda na uangalie utajifunza mengi sana hasa kama utapata nafasi ya kusoma au kusikia stori zao.wengi wao husema ilikua ni Ndoto zao tangu wakiwa wadogo. Hapo nipo pinti yangu ya leo ilipo.....NDOTO...Umeshawahi kujua ndoto yako? au labda nikuulize ndoto zako ni kuwa nani au kufanya nini? na je umeshafanya juhudi gani kutimiza ndoto zako? Kama bado na hata hujui ndoto inasaidia nini basi jifunze leo kwamba hakuna tajiri yeyote ambae amefanikiwa kufanya jambo lolote kubwa bila kuwa na ndoto.Jambo lolote kubwa katika mafanikio ya kimaisha huanza na ndoto na baada ya hapo ni mikakati katika kutimiza ndoto zako.
HUJACHELEWA ANZA LEO MKAKATI WA KUTIMIZA NDOTO ZAKO...WAKATI NI HUU...

Majoy.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...