Social Icons

Tuesday, November 22, 2011

SONG OF MY CHOICE....Hello Majoy, mie ni mpenzi wa blog yako nipo Ughaibuni kwa sasa ila home ni Mwanza Tz naomba kumdedicate wimbo wa I'm Coming Home mama yangu pamoja na ndugu zangu wote waliopo Nyakato Mwanza bila kumsahau mpenzi wangu S....... akiwa Arusha Tanzania namwambia Am Coming Home for Xmas. Plz Majoy email yangu usiipublish.Gud job dada tunajifunza na kuburudika na Majoy Blog.

Mdau Ughaibuni.

Kutuma salaaam na kuchagua wimbo uupendao tuma kwa majoy28@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...