Social Icons

Tuesday, December 20, 2011

Mrembo Afariki Kwa Kansa ya Matiti...

Mrembo aliyewahi kutwaa taji la urembo na kuwa Miss Venezuela mwaka 2000 Eva Ekvall amefariki baada ya kuugua kansa ya matiti kwa muda mrefu.Amefariki akiwa na umri wa miaka 28 ameacha mume na mtoto wa kike wa miaka miwili.

Hapo Akishangilia mara alipotangazwa kuwa mshindi...

Wa pili kutoka kushoto ni Eva akiwa na wenzie waliofanikiwa kuingia tano bora...

Hizo ni baadhi ya picha za Eva enzi za uhai wake akiwa Miss Venezuela.
Mungu ailaze roho ya marehemu Mahali Pema Peponi.Amen

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...