Social Icons

Thursday, December 1, 2011

SIKU YA UKIMWI DUNIANI

KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KILA IFIKAPO TAREHE MOJA YA MWEZI WA KUMI NA MBILI KILA MWAKA(01/12/2011) NAOMBA NIWATAKIE BARAKA WALE WOTE AMBAO TUMEJAALIWA KUIONA SIKU HII YA LEO.
PIA NAWAPA POLE WALE WOTE AMBAO WAMEPOTEZA MARAFIKI,NDUGU NA JAMAA ZAO KWA GONJWA HILI LA UKIMWI AU MAJANGA MWENGINEYO.
WITO WANGU KWA VIJANA WENZANGU NI KUJALI AFYA ZETU KWA KUJILINDA NA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA UKIMWI KWA KUWA WAAMINIFU NA KUTUMIA CONDOM KILA UNAPOFANYA MAPENZI.
MLINDE UMPENDAE KWA KUMUWEKA MBALI NA MAAMBUKIZI KWA KUWA MWAMINIFU NA KUTUMIA CONDOM ILI WOTE MUWE SALAMA.
KUMBUKA MAISHA NI HAYA TUNAYOISHI SASA JALI UZIMA WAKO PENDA MAISHA,JITHAMINI NA UJIPENDE.
KAPIME UJUE HALI YAKO YA MAAMBUKIZI ILI UISHI UKIWA NA UHAKIKA WA KILA UNACHOFANYA.

2 comments:

  1. we embu tutolee ushuzii blog blog ushuzii jtupu blog ni uturn peke yake huoni aibu .sura mbaya kama umekula limao

    ReplyDelete
  2. Asante sana kwa comment yako maana ili ucomment lazima uwe umeifungua blog na kupitia baadhi ya posts.sishindani na mtu na wala sihitaji kufananishwa na yeyote.Kwa ushauri tu ukiona hapa panakuboa usiingie sawa.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...