Mambo Majoy naupendekeza huu wimbo uwe maalum kwa msiba wa mwenzetu Winnie huwa unanigusa sana ni Nomvula umeimbwa na Freshly Ground wa South Africa. Princess Dina.
Majoy anasema: Asante sana Dina kuwa pamoja nasi kwa wakati huu wa msiba asante sana kwa wimbo utuburudishe sote.
tutakukumbuka daima winnie
ReplyDelete