Social Icons

Wednesday, November 30, 2011

CHEERLESS MOMENTS.....

She was more than a friend, we grow up together sharing our childwood moments together went to school in primary level togather and today as we all have our own life as a mother and her a wife she gone.I dont find other word to describe her Winnie u will always be in our heart u gone too soon ooh Lord give us streghth to handle the pain we have right now.It's too hard to erase all memories of her in our minds.

Rest In eternal Peace darling friend.

Below are some photoz of Winnie enzi za uhai wake.


Tutakukumbuka daima Winnie umeondoka mapema sana hatuna jinsi zaidi tunamshukuru Mungu tu.Mungu ni mwema wanao watakua kwa msaada wake na atawapigania amin.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Libarikiwe.


9 comments:

 1. jamani winne! eeh mungu ilaze roho yake mahali pema Peponi. kweli kifo chako kimenichoma na kuniumiza sana sana! will always remember and love you!

  ReplyDelete
 2. YANI UZAZI WA SIKU HIZI NI SHIDA SANA MUNGU AWAPIGANIE WATOTO WAKE JAMANI HASA HAKO KACHANGA YANI INAUMA SANA.POLE KWA FAMILIA YAKE HASA MUMEWE.

  ReplyDelete
 3. inasikitisha sana jamani kifo chako kimetuumiza wengi sana ila hatuna jinsi tunakuombea tu Mungu akupumzishe mahala pema peponi,AMEN

  ReplyDelete
 4. Asanteni sana wapendwa kwa kujali kwenu ni mwenzetu tuko pamoja.maombi na sala zenu ni muhimu sana ktk wakati huu mgumu wa msiba zaidi tukiwaombea watoto wake na baba yao bila kumsahau mama yake ili Mungu awape faraja.

  ReplyDelete
 5. Mojaone asante sana rafiki tumeshapoa sasa twamuombea tu

  ReplyDelete
 6. however Good you would be, however caring you would be or Godfearing person, you shall be loved by all but him the unseen ther most! Perish shall your soul than the flesh.

  ''Lamentations 3:22-26; 31-32
  for the Lord don't abandon anyone forever. 32 Though he brings grief, he also shows compassion according to the greatness of his unfailing love''

  ReplyDelete
 7. dah mungu awasidie wafiwa mimi simfahamu ila imeniuma sana rest in peace winnie yote ni kazi ya mungu

  ReplyDelete
 8. Asante sana Lina & Buganzi mbatikiwe sana tunashukuru Mungu tumeshapoa.

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...