Social Icons

Friday, February 3, 2012

Utoke vipi week end......


Haya kwa wale wenzangu namie ambao hatupitwi na heke heka za week end.... pateni idea hapo ya jinsi ya ku-match ili utoke bomba.Angalizo ni kwamba ukitoka hii inapendeza sana kwa dinner so dunia yako chaguo ni lako pendeza mamy usikubali kuachwa nyumbani ukipendeza yeye mwenyewe atatamani kukutoa hata kama hakua na mpango huo.

See u soon guys for more ideas.....

Kisses n hugs!
Majoy

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...