Social Icons

Tuesday, February 7, 2012

Womens Day Celebrations.....


Wanawake mpoooo?? Wadada mpoooo? Haya sasa wapendwa shughuli ndo hiyoo inakuja kwa sh. 25,000/- tu utapata burudani na kuelimika kuhusu maswala mbalimbali ya ujinsia,ujasiriamali,urembo na mengine mengi.
Mimi nitakuwepo siku hiyo so wadau karibuni tuungane pamoja.
Kutakua na sare siku hiyo ambayo ni kanga...vyovyote utakavyoivaa kama ni rubega, gauni,kaptula na hata ushungi kheri tu upendeze maana ni siku yetu wanawake.

Mahali: Serena Hotel zamani MovenPick

Ujumbe wa siku hiyo: Unganisha Wasichana,Hamasisha Hatima zao”

Kwa taarifa zaidi kuhusu nini kitajiri siku hiyo ingia http://8020fashions.blogspot.com
 
 

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...