Social Icons

Monday, April 30, 2012

TUWASAIDIE JAMANI KILA MTU KWA KADRI UTAKAVYOBARIKIWA....

Juma Kilowoko (Sajuki) akiwa na mkewe Wastara siku walipofunga ndoa

Wastara


Sajuki alivyo sasa baada ya kuugua

Ndugu zangu Watanzania popote mlipo ulimwenguni tunaombwa kuisaidia familia hii kwa hali na mali kwa jinsi Mungu atakavyotubariki ili waweze kujikimu na maisha yao ya kila siku ikiwa ni pamoja na kupata pesa za matibabu ya Sajuki yanayotarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi milioni 25 za kitanzania.
Kama utaguswa kwa namna yoyote ile unaombwa kutuma mchango wako kupia akauti ya benki ya Wastara au kwa m-pesa kwa namba nitakazozitaja hapa chini.

AKIBA COMMERCIAL BANK, ACC NO. 050000003047, WASTARA JUMA
AU
KWA M-PESA NO. 0762 189592

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu Mungu awabariki na azidishe kila mtakapopunguza.

(picha shukrani kwa Global Publisher)

Majoy.
No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...