Social Icons

Monday, May 14, 2012

MAONYESHO YA CAKE NA FLYING CHEFS-TAMBAZA AT DIAMOND JUBILEE HALL

Majoy niliwakilisha pia...Keki mfano wa pool table!!!

Esha nae alikuwepo kujionea maajabu ktk keki....
Hiyo bwana cake mfano wa white house kwa Obama...

Baadhi ya watu waliohudhuria maonyesho hayo

Hii ni cake usishangae
Esher n Majoy

Hiyo bwana cake mfano wa meli ya Titanic!!
White House ya Obama kwa nyuma

Hii ilikua inamuhusu marehemu Steven Kanumba 'The Great'


Maalum kwa ajili ya Kanumbawapendwa picha ni nyingi sana ila kwa sasa net inasumbua nashindwa ku-upload nitaziweka net ikiwa sawa so karibu tena baadae uone maajabu katika ulimwengu wa cake toka kwa wataalam waliobobea....nawazungumzia The Flying Chefs wanapatikana Tambaza opp na Tambaza sec school.

PITA HAPA BAADAE UONE MAUMBO MBALIMBALI YA KEKI ZA KUVUTIA NA KUSHANGAZA.....1 comment:

  1. RAHA YA CEKE UJUE JINSI YA KUILA LA SIVYO ITAKUPA MATESO TU HAYO MACREAM CREAM TAABU TUPU.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...