Social Icons

Monday, May 21, 2012

JANETH'S BIRTHDAY DINNER AT CITY GARDEN RESTAURANT...Happy Birthday Janeth aka Mama Kijacho
Ilikua ni suprise toka kwa mumewe so hakujua chochote kilichopangwa ila alifurahi sana kukuta marafiki zake toka sehemu mbalimbali wamekuja kum-wish kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa.Mpango mzima ulisimamiwa na mumewe Mathern Mhelela kwa kushirikiana na Veronica Mrs Millinga ambae alisimamia swala zima la keki.

Nawatakia maisha marefu yenye furaha na amani siku zote.
Fuatilia matukio katika picha..........

Waalikwa wakisubiri kumsurprise mama K


Alipoingia alishangaa sana akashindwa hata kuongea maskini akabakia kucheka tu..
Keki ilikua mfano wa umbo la mama mjamzito ...maalumu kwa ajili yake toka kwa mumewe kipenzi


Muewe kwa pembeni na mtoto wao wakishuhudia Janeth aki-wish kabla ya kuzima mshumaa


Kicheko kikiendelea wakati tunamuimbia....
BONYEZA HAPO CHINI KWA PICHA ZAIDI.....


Kata keki tuleeee...keki ilikua tamu balaa...


Hapo hata sikumbuki nilikua naongea nini na bibie
Waandishi utawajua tu....cheki mwandishi wa zamani (Veronica) akichukua matukio

Akimlisha mumewe wa ndoa tena ya kanisani ..till death do them apart....

Akimlisha mtoto wake ..first born Michelle aka mrs O
Prisca dada wa Michelle akila chake

Vero aka Mrs Millinga akiwakilisha...thanks mamito kwa jitihada za kufanikisha mambo kadhaa kwa cku hii

Majoy nikijinoma
Eliaichi nae alipata kipande cha keki
Mnyalu shem wa Janeth akionja utamu wa keki !!

Khaleed shemeji wa Janeth nae akipata kipande chake
Mume wa Vero akilishwa keki
''Kula mke wangu nakupenda sana i can do anything for u ...ur my one n forever mine''...rahaaaa

Michelle alijinomaje keki!!!

Rehema akijifaidia keki

Hapa tunasubiria msosi!!!!!!!!


Ulipendeza sana mamito

Vero akiwa na baby Michelle ktk poziii


Mie na na mama K tukiteta jambo

Waalikwa

Mie na shemu wangu Humphrey Millinga

Mr &Mrs Mathern Mhelela......Hiyo mbele yao ni keki ilikua tamuje?!!! na kubeba tulibebaaa!!

Pozi za kusubiria msosiiiii aka kipengele muhimu lol!!

Prisca dada wa Michelle ktk pozi ..chezea yeye!!

Hapo sasa muda ukawadia uleee wa kipengele muhimu aka misosi time!!!

Chakula hiki na vingine vingi vililiwa usiku huu kila mtu kwa kadiri ya appetite yake, unataka kujua mi nilikula nini??? endelea kuangalia picha zinazofata....

Mama K na shemejie wakijichana tunamshukuru Mungu kwa kumjalia appetite ya kutosha mama K wetu!!

Vero nakuona hapo ukiitendea haki chips kwa prawns hehehee.

Majoy nikijichana chakula nikipendacho hata nikialikwa ikulu nitaomba hii...kitu cha mutton pilau...napenda sana pilau haijalishi imepikwa kwa nini ilimradi pilau!!..Shemu wangu kwa pembeni na ngisi kwa chips tulijinomaje!!!!

Full kujichana

Kwa raha zenuuuuu ...wenye vijiba vya roho liwakwameeee hii imeandikwa mbinguni kama wanaweza wakafutee!!!

BAADA YA KUSHIBA KWA SANA ZIKAANZA PICHA ZA POZI MAALUMU KWA KUMBUKUMBU YA SIKU HII....

Hapo tukiwa tunajiandaa kuondoka

Mwanetu Michelle hapo kapoaaa ka sio yeye mama shughuli...

Hapo chacha..umecheki pozi lake hiloooo

Mrs Millinga ktk pozi...picha ilipigwa na Michelle ...kipaji hiki shem Mathern tukiendeleze..

Familia...Mzidi kubarikiwa

Mr&Mrs Millinga ..much love kwenu mbarikiwe sana

Tulinoga eeeee

Tunapendana na tunathaminiana sana Mungu azidi kutusimamia kuna wenzetu walikosa wao wanaishi Kilwa tunawapenda pia Mr&Mrs Suka one love kwenu!!

Mama K akimuaga chef wa City garden baada ya shughuli zote kukamilika ..hahahahaaa!!

BAADA YA HAPO KILA MTU ALIISHIA MAKWAO HUKU MASHABIKI WA CHELSEA WAKIWA NA FULL SHANGWE BAADA YA TIMU YAO KUTWAA UBINGWA.
SHUKRANI SANA KWA MR&MRS MHELELA KWA MWALIKO,NAWAOMBEA BARAKA NA MUNGU AZIDISHE MARA MIA MLIPOPUNGUZA,TULI-ENJOY SANA.

ASANTENI WOTE.

-----
MAJOY

8 comments:

 1. Wow! that's great work from you Majoy.Keep it up mpendwa.We love you so much..

  ReplyDelete
 2. It was nice majoyy. Mungu abariki hiyo ndoa idumu.

  ReplyDelete
 3. Nimependa hiyo keki Mrs Milinga hongera kwa maandalizi ya keki.

  ReplyDelete
 4. Hahahahahaha umetisha Majoy a.k.a mtarajiwa wa Mr. Mr Martin nyirenda toto ya Muzambia hehehe.Chezea majoy wewe?!!!

  ReplyDelete
 5. Asanteni sana wapendwa wangu,nafurahi sana kusoma maoni yenu haijalishi iwe ni positive or negative yote ni maoni na nafurahi sana kwani mnanipa moyo wa kusonga mbele.Karibuni

  ReplyDelete
 6. Duh heri yao wenye wanaume wanaokumbuka cku za kuzaliwa za wake zao wengine hata anniversary hawakumbuki.Happy belated bday Janeth ulipendeza sana

  ReplyDelete
 7. Nawashukuru sana Mashemeji zangu Joy na Vero, Mr Humphrey na Mdogo wangu khalid kwa kufanikisha zoezi...miezi miwili kamili baadae yaani July 18, mwenyezi Mungu ametujaalia mtoto wa Kiume.Kweli ilitupasa kufurahia keki ya "Ujauzito" ambayo tutaiita Keki ya Lian

  Mathern mupenzi ya Janeth

  ReplyDelete
 8. ASANTE SANA BABA LIAN TUPO PAMOJA,MUNGU AZIDI KUWAPIGANIA NA KUWALINDA KILA MPITAPO.NAWAPENDA PIA.

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...