Social Icons

Friday, May 18, 2012

UJUMBE TOKA FACEBOOK....NINGEKUWA MSHAURI WA SIASA KWA MHE.JK NINGEMSHAURI MAMBO KADHAA:

1:AWAJUMUISHE WANAFUNZI WA VYUO VIKUU KATIKA BODI YA MIKOPO.
KWA MAANA KILA CHUO KOTE NCHINI KITOE MWANAFUNZI MMOJA AMA WAWILI AINGIE MOJA KWA MOJA KWENYE BODI YA MIKOPO..

 2:AWAAMURU NA KUWAPA MIEZI SITA WAKUU WA MIKOA WOTE WAHAKIKISHE WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KOTE NCHINI WANAKAA KWENYE MADAWATI BADALA YA KUKAA CHINI KWA BAADHI YA SHULE,,MAANA YANGU WAKUU WA MIKOA NDANI YA MIEZI SITA WAHAKIKISHE HAKUNA MWANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI ANAKAA CHINI.

3:KUREJESHA NYUMBA ZA SERIKALI

4:KUREJESHA AZIMIO LA ARUSHA NA MIIKO YA UONGOZI

5:MAWAZIRI NA WATENDAJI WOTE WA SERIKALI WAWE UTENDAJI WAO UWE UNAPIMWA KWA MIEZI 12,AKIONEKANA ANESHINDWA ANAONDOLEWA ANAWEKWA MWINGINE

6:CHAMA KITAKACHOHUBIRI UDINI,UKABILA,UKANDA,KIFUTWE MARA MOJA NA MSAJIRI WA VYAMA..

7:KUHAKIKISHA VITUO VYA RADIO NA LUNINGA HAVICHEZI KAZI ZA WASANII AMA MAGAZETI KUANDIKA KAZI ZA WASANII MPAKA WAINGIE MKATABA WA KIMALIPO,MFUMO HUO WANAUTUMIA SANA RWANDA NA UGANDA,WASANII WAKE NI MATAJIRI SANA..

8:KUONDOA VIWANJA VYA NDEGE VYOTE KWENYE SEHEMU YA MIGODI NA MADINI

9:KUONDOA VIWANJA VYA NDEGE VYOTE KWENYE HIFADHI ZA TAIFA..

10:KUWACHAPA VIBOKO WALE WOTE WANAOWAPA MIMBA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI IKIENDANA NA KUFUNGWA JELA MAISHA

HAYO NI MACHACHE NA WW ONGEZA LA KWAKO.....

Cyprian Majura Musiba

1 comment:

  1. UJUMBE USHAMFIKIA MKUU USIJALI.WATU KAMA NJYIE NDO MNATAKIWA KUPATA NAFASI MUHIMU KATIKA SERIKALI YETU.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...