Social Icons

Tuesday, June 5, 2012

BAADHI YA VIPANDE VYA FILAMU YA RAULA KATIKA PICHA...

Esha Buheti na Chuchu Hams washiriki filamu ya LAURA

Hapo wakiwa na Suleiman Barafu

Eti Chuchu na Esha wanafanana?? nini maoni yako?

Watoto  waliocheza kama machokoraa wakiwa na Esha pamoja na Chuchu location


Mtoto aliyecheza kama Laura akipakwa Make Up ili atokee kama chokoraa

Hapa tayari kwa action!


Barafu kikazi zaidi!!


Esha na mtoto wa ChuchuWatoto hao  'on set'...

USIKOSE KUNUNUA NAKALA YAKO HALISI PINDI IINGIAPO MTAANI.

COMING SOOOOON!!


2 comments:

  1. Hiyo nadhani itakuwa kali, Chuchu cjamuona muda mrefu kwenye Movie. Movie ya mwisho kumuona nimesahau hata jina lake ila yupo Yeye Johari na Checkbud, Johari aliteseka sana kwenye ile movie.

    ReplyDelete
  2. Yap yap BQ ni nzuri na waliocheza wamejitahidi sana pia Stori yake inavutia na kusikitisha pia.Itatoka kati ya mwezi ujao.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...