Social Icons

Wednesday, June 6, 2012

KILA LA KHERI KAMANDA SHY-ROSE BHANJI

Now ni mbunge kamili wa Bunge la Africa Mashariki hapo akila kiapo

Shy-Rose Bhanji akisaini nyaraka za kiapo.
KILA LA KHERI DUA NJEMA NAKUOMBEA UKAWE MFANO WA KUIGWA NA WENGI NA MUNGU AZIDI KUKUBARIKI NA KUFANIKISHA KILA JEMA UPANGALO KWA AJILI YA TANZANIA NA WATANZANIA.


No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...