Social Icons

Thursday, June 7, 2012

TAWI LA CHADEMA WASHINGTON DC LAZIDI KUKUSANYA WANACHAMA
Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Washington DC, Kalley Pandukizi  (kulia) akiwa na Katibu wa chama hicho, Ndugu Libe Mwang'ombe (katikati) alipotoa kadi rasmi kwa Beautician maarufu na designer Mtanzania, Linda Bezuidenhout (kushoto).
Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Washington DC, Mhe. Kalley Pandukizi (kulia), pamoja na katibu wake Mhe. Libe Mwang'ombe (katikati) akimkabidhi rasmi mwanachama mkereketwa ambae ni mwana mitindo, Linda  Bezuidenhout (LB) kadi ya uwanachama wa Chadema katika ofisi yaTawi la Chama hicho Washington DC.
Mwenyeketi wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Washington DC, Mhe. Kalley Pandukizi, pamoja na katibu wake, Mhe. Libe Mwang'ombe wakipata picha ya pamoja na Linda  Bezuidenhout Atlanta, Georgia na wanachama wa tawi la Chadema Washington DC.
Viongozi wa tawi la Chadema Washington DC wakipata Champagne.
 Linda Bezuidenhout (LB) akiwa na furaha baada ya kuvua Gamba na kuvaa Gwanda na kuchukua kadi  kuwa mwanachama kamili wa Chadema.
---
Katika miaka ya nyuma Linda aliwahi kusponsor  matukio mbalimbali kwenye miaka ya 1990 wengi wao wakimjua kwa Linda Express nchini Tanzania ambaye hivi sasa anajishughulisha na  biashara ya nguo za kiume milanovita.com pamoja na za kike ambazo anadesign mwenyewe kwa brand name ya Linda kutoka Atlanta, Georgia nchini Marekani.No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...