Social Icons

Thursday, July 26, 2012

NJIA RAHISI YA KUPIKA YA VITUMBUA


Vitumbua
Kwa mnaopenda vitumbua angalieni video hapo chini jinsi ya kuandaa.Njia rahisi sana ambayo wengi hatuifahamu,Nimeitoa hii video You Tube nikaona niwashirikishe sababu hata mie sikuwahi kufikiri kama naweza kupika vitumbua kwa ku-blend mchele.
Haya wapendwa waandalie familia yako vitumbua wafurahie ...binafsi napenda sana vitumbua.


Usisite kutushirikisha jinsi ulivyojaribu kutengeneza vitumbua vyako kwa kufata  maelekezo haya.

Kwa mawasiliano tutumie barua pepe kupitia majoy28@gmail.com

Kila la kheri.

2 comments:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...