Social Icons

Wednesday, August 22, 2012

HAHAHAHAAAA NICHEKE MIE....MCHUCHUMIO HAUNA MZOEFU CHEKI HII!!!

Mel B,
Mel B wa Spice Girls

Mwanadada Melanie Brown maarufu kama Mel B yamemkuta makubwa baada ya kuanguka wakati anakimbia akiwa amevaa viatu vya mchuchumio urefu wa inchi 7 na kusababisha kupata jeraha usoni.

Kujua zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...