Social Icons

Tuesday, September 25, 2012

HONGERA SANA VERONICA STIMA KWA KUFUNGA NDOA

Nakutakia kila la kheri mdogo wangu katika safari ulioianza ya maisha
mapya ndani ya ndoa wewe na mumeo.
Mdumishe upendo na mshikamano kwa kila mtakalofanya.
---
Majoy

4 comments:

 1. HONGERA SANA WOTE WAWILI, KILA MMOJA WENU AAMIN NA KUJIAMINI KUWA UCHAGUZI WAKE KWA MWENZAKE ULIKUA WA KWELI NA UHAKIKA.
  NGUZO YA NDOA UPENDO, UVUMILIVU, HESHIMA NK

  ReplyDelete
 2. Walipendeza sana
  nimependa mno nguo za hao bride maids na grooms man very unique.all the best kwao waichunge ndoa yao isijegeuka ndoano

  ReplyDelete
  Replies
  1. NGUO ZAO ZIMEDIZAINIWA NA MANJU MSITA,UKIHITAJI WASILIANA NAMI NIKUUNGANISHE NA MTU WAKE WA KARIBU.

   Delete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...