Tuesday, October 30, 2012
SAJUKI: SASA NIKO POA , HII NDIYO NGOMA YANGU MPYA...
Activities, Events, Entertainments and Hot World News: SAJUKI: SASA NIKO POA , HII NDIYO NGOMA YANGU MPYA...: Ni kitambo sasa tangu kuwepo kwa taarifa kuwa staa wa Bongo Movie, Juma Kilowoko, 'Sajuki' ni mgonjwa , huku pia taaraifa za karibunu ziki...
Sunday, October 28, 2012
HAPPY BIRTHDAY JESTINA GEORGE WA JG BLOG!
Hey lovely dear,
It's your day and its so special, may you enjoy it and have fun to de fullest...
I wish u every best in life....May God grant you happiness, success in
health and wealth.
God Bless You!
--
Majoy
Friday, October 26, 2012
SALAAM ZA EID EL HADJ KWA WADAU WOTE WA BLOG
Nawatakia mapumziko mema wakati huu wa sikukuu ya Eid El Hadj na weekend.
To our Muslim fans, May all your prayers be granted in de name of Allah.
--
Majoy
Thursday, October 25, 2012
PICHA 3 ZAIDI ZA K/PARTY YA AUNT/RAHMA FROM JG BLOG!
![]() |
| Bi. Rahma aka Aunt Ezekiel |
![]() |
| Wema Sepetu na mashosti wake Jamila na Sarah |

**Picha zote kwa hisani ya Jestina George Blog**
KITCHEN PARTY YA AUNT EZEKIEL@ MLIMANI CITY
Kitchen Party ya bibie mrembo wa Bongo Movie Aunt Ezekiel aka Rahma ni leo katika
ukumbi wa Mlimani City.
Watu maarufu kibao wamehudhuria.
Kwa picha zaidi endelea kuzungukia mtaa huu.
"Picha Shukrani Kwa Jestina George Blog"
Wednesday, October 24, 2012
ANAETUPAMBIA LEO.....
Warembo wa haja, asanteni kwa kupamba page yetu leo.Mwenye green top
ni Esha Kasanga msanii wa muvi bongo na mwenzie ni Veronica Mahila
mmiliki wa Red Rose Pub iliyopo tabata Magengeni.
--
Majoy
Thursday, October 18, 2012
HATIMAE AUNT EZEKIEL AFUNGA NDOA!
![]() |
| Aunt akiweka sahihi kwenye cheti cha ndoa |
![]() |
| Umependeza dia mashallah ukatulie huko usimtie aibu somo wako |
![]() |
| Aunt akifurahi na marafiki zake siku ya ndoa yake |
Hongera bibie kwa kuyaana maisha mapya ukiwa mke halali kabisa wa
Sundey Demonte.Ukawe mfano bora kwa wasanii wenzio na kamwe usiwe kama
mwanamke mpumbavu anaevunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
All de best in your marriage life.
--
Majoy
Tuesday, October 16, 2012
Thursday, October 11, 2012
JOKATE AZINDUA CHAPA YA KIDOTI NA KUIBUKA NA KAULI...
JESTINA GEORGE: JOKATE AZINDUA CHAPA YA KIDOTI NA KUIBUKA NA KAULI...: Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Jokate Mwegelo akizungumza wakati alipozindua rasmi kampuni hiyo inayojishughulisha na Uuzaji ...
Thursday, October 4, 2012
HAPPY BIRTHDAY ESTER ULAYA...

I wish u alot of Success in Healthy and Wealthy, God Bless You and
Your Family. Enjoy the day to the fullest!!
--
Majoy
Tuesday, October 2, 2012
*FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG* OF 2011 IS NOW INTRODUCING FLORA LYIMO FASHION POLICE " BEWARE": *IN FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG* Kila mtu na m...
*FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG* OF 2011 IS NOW INTRODUCING FLORA LYIMO FASHION POLICE " BEWARE": *IN FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG* Kila mtu na m...: HABARI NDO HIYO..HAKI YA NANI TENA UKIKITUPA TU...MWENZIO AKIKIKAMATA NI NOMAA!! ILA SIYO KWAMBA NASHANGILIA ANYTHING HAPA" MANENO NI YA KI...
DEAD BABY WAKES BEFORE FUNERAL
Sweet Home: DEAD BABY WAKES BEFORE FUNERAL: This story is absolutely amazing. God reached down and touched this little baby and blessed the family with a miracle! This baby was bo...
MWANAMKE AOTESHWA SIKIO KWENYE SEHEMU YA MKONO WAK...
Sweet Home: MWANAMKE AOTESHWA SIKIO KWENYE SEHEMU YA MKONO WAK...: In 2008, Sherrie Walters was diagnosed with aggressive basal cell cancer, and had to have part of her ear, skull, and ear canal removed. ...
Subscribe to:
Posts (Atom)
















