Social Icons

Thursday, October 25, 2012

PICHA 3 ZAIDI ZA K/PARTY YA AUNT/RAHMA FROM JG BLOG!


Bi. Rahma aka Aunt Ezekiel
Wema Sepetu na mashosti wake Jamila na Sarah


**Picha zote kwa hisani ya Jestina George Blog**

4 comments:

 1. Yani mwenye asili haachi asili yake huyu si alisema hatavaa tena nguo za uchi na hiyo nini sasa hapo c akikaa tu kipapa chote nje.pole kwa huyo anaeoa kimeo hiko.

  ReplyDelete
 2. Mashallah walipendeza,hee kumbe Wema anapendeza akivaa nguo za heshima.

  ReplyDelete
 3. Biharusi chijego mwe nguo gani hiyo.puuuuuuuu!

  ReplyDelete
 4. alipendeza sana lkn nimuombe atulie kwenye ndoa yke nguo za uchi sio uzuri bali ni kujianika jinsi ulivyo vaa vaz linalomsitahili mwanamke hasi mke wa mtu kila la heri mugu akutangulli marafyale

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...