Social Icons

Saturday, January 12, 2013

HAPPY BIRTHDAY MY BEAUTIFUL MOMY....


Pichani ni mama yangu kipenzina na shemejie Mr.Kihulla 
Mie,Baba mdogo Ben na mama
Tunakuombea maisha marefu yenye baraka na kila aina ya mafanikio katika kila ufanyalo.
Umekua baraka sana kwenye maisha yangu mama,Sina cha kukulipa ila nakuombea salama.

Happy Birthday Sweet Mama.No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...