Social Icons

Monday, February 18, 2013

R.I.P BABY IAN....

EEEE MUNGU WA MBINGUNI MPOKEE MALAIKA HUYU UMPUMZISHE KWA AMANI NA
UWAPE FARAJA WAZAZI WAKE KATIKA WAKATI HUU WA MSIBA.

JACQUE MPENZI JIPE MOYO NA UZIDI KUMTUMAINI MUNGU HATA KWA WAKATI HUU
MGUMU SANA KWA KILA MWANADAMU KUUKUBALI.

NAWAOMBEA FARAJA KATIKA JINA LIPITALO MAJINA YOTE LA YESU KRISTO AMEN.

PUMZIKA KWA AMANI PRINCE IAN.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...