Social Icons

Friday, May 24, 2013

REDD'S MISS KIGAMBONI 2013!


Pichani ni warembo wanaowania taji la Miss Kigamboni wakiwa na Miss Tanzania mwaka 1999 Hoyce Temu aliyekuwa akiwafunda warembo wa Miss Kigamboni, aliwaaambia mambo mbali mbali kuhusiana na masuala ya urembo likiwemo suala la nidhamu na kujitambua katika jamiii.

Shindalo la Miss Kigamboni linatarajiwa kufanyika June 7.Follow us on www.twitter.com/majoyblog or Like our page onwww.facebook.com/majoy4family

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...