Social Icons

Tuesday, March 8, 2016

HAPPY WOMEN'S DAY 2016

Wanawake ni jeshi kubwa... 

Mungu alituamini tangu zama za Adam akatupa mwanaume ili tumsaidie. Nakuasa ewe mwanamke mwenzangu usibweteke, amka nenda kapambane kujitafutia kipato ili uwe msaada kamili kwa Adamu wako na familia yako.

Nawatakia Kheri katika siku hii tunapoazimisha SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Mwanamke ni nguzo imara kwa familia.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...