Social Icons

Tuesday, May 22, 2012

AGE IS JUST A NUMBER / LOVE IS BLIND...........


Kijana wa miaka 25 afunga ndoa na kibibi cha Kigiriki nchini Nigeria

Shostito akifurahia kupata kidume cha mbegu!!

Newly weds katika poziii

Maharusi na familia

Bibie na wakwe zake utamtaka!!
maharusi

Wakielekea kwenye fungate

Kibibi kimejipatia mume...ng'ombe hazeeki maini!!
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni, wonders has never end in this world.
All the best!!!

----
Majoy


4 comments:

  1. kibibi kimeonja kimenogewa kinachukua jumla chezea pesa wwwww

    ReplyDelete
  2. MIMI NAITAZAMA HII KWA MTAZAMO TOFAUTI, MAPENZI HAYAANGALII UMRI SABABU NI MGUSO WA MIOYO YA WATU WAWILI NA KWA VILE MOYO HAUNA MACHO SO HAUCHAGUI NANI WA KUMPENDA.VILE VILE KIJANA ANAJUA ANACHOFANYA.
    ALL DE BEST TO THEM.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...