Social Icons

Thursday, July 21, 2011

SIKU NJEMA

WAPENDWA WA MAJOY MNIWIE RADHI LEO SIJISIKII VIZURI NIMESHINDWA KUPOSTI CHOCHOTE ILA NAWAAHIDI KESHO TUTAKUA PAMOJA KUHABARISHANA.VILEVILE WEWE MPENZI WA MAJOY UNARUHUSIWA KUSHARE NASI JAMBO LOLOTE UNALOONA LAFAA KUSHARE,KUULIZA AU KUOMBA USHAURI WA KITU CHOCHOTE NITUMIE KUPITIA
NAMI NITAKIRUSHA HEWANI KWA FAIDA YETU SOTE.

NAWATAKIA JIONI TULIVU YENYE AMANI NA ULINZI WA KUTOSHA!!!!!.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...