Social Icons

Monday, October 31, 2011

MIAKA MITANO YA 8020 FASHION BLOG

ILIFANYIKA TAR-30-10-2011 KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE VIP HALL.
HONGERA SHAMIM NA MUNGU AKUJAALIE UJE USHEREHEKEE MIAKA 50 YA BLOG YAKO.KILA LA KHERI LADY NIPO NYUMA NIKIFATA NYAYO ZAKO.
BAADHI YA PICHA ZA WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO........

Shamimu aka Zeze mmiliki wa duka la 8020 fashion na 8020 fashion blog

Kisa wa Kiki's Fashion

PRETTY SINTA ndani ya vazi la kanga umependeza shosti mashallahh

Hawa hii imenivutia sana na ninatangaza rasmi kuikopi soon lol!!

My bestito Ester Ulaya Cuthbert...nimependa nguo yako umependezaaa

Shosti Kimmly Majid

Shamim na waheshimiwa wabunge

DINA MARIOS......HUWA NAPENDAGA SAUTI YAKE AKIWA STUDIO SO SWEET

Ulipendeza sana dear Zeze simple but PERFECT...

Dina Marios, Shamim na wengine siwajui kwa majina

Shamim akikata keki

Maznat na Joyce Kiria nawapendaga sana hawa wadada they are SMART' wanajua wanachotaka na wanafanya hicho.

HONGERA SANA ZEZE NA 8020 FASHIONS.

6 comments:

 1. MWANAMKE NI KUJIPENDA, YAANI CHEKI HIZO PICHA KILA MMOJA NI MERMBO NA KAJIPAMBA KUSHINDA MWINGINE, YOTE KUMI, KUMI NA MOJA HAWAKUSHINDI WEWE JOY.

  ReplyDelete
 2. Ester mpz nilikua safari kidogo na siku hiyo ndo nilirejea town halafu mamangu pia alifika siku hiyo so nikaishia kutamani tuu.
  Mojaone hujatulia wewe nilikumiss best karibu.

  ReplyDelete
 3. MMH ILIKUA NZURI NA YAKO ITAFIKA TALATIBU JOY JIPE MOYO.NAKUPENDAGA SANA.

  ReplyDelete
 4. naomba mungu kwa nguvu zote uweze kufika miaka hamsini ya blogy yako majoy,shika na shikamana usikate tamaa,

  ReplyDelete
 5. Mrs Humphrey asante sana kwa prayers God is great i trust.

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...