Social Icons

Monday, September 19, 2011

GENDER FESTIVAL BY TANZANIA GENDER NETWORK(TGNP)

Picha za Tamasha la Jinsia lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania.
Prof. Dzozi toka chuo kikuu cha Ghana akifungua maonyesho

Meza kuu

washiriki toka jumuia za kimataifa

Prof. Shivji mwanaharakati

Mwanamama Margareth Dalongo mbunge mstaafu wa Zimbabwe na mpigania haku za wanawake

kikundi cha sanaa toka chuo kikuu wakiwasilisha kwa njia ya maigizo

Wadau tukiangalia

Wafanyakazi wa Concern Worldwide  tukiwakilisha

Kucheza muhimuuuuuu!!!

Mie na mfanyakazi mwenzangu toka ofisi ya Mtwara

Wanahabari walikuwepo kuwahabarisha wanajamii

Mawasilisho ya picha

ikimaanisha rushwa

Mimi na Mpoto

Majoy

Kiongozi wa kikundi cha wanawake wa kimasai toka Loliondo

Mh.Zitto Kabwe nae alikuwepo

Akiwa na mmiliki wa mgahawa wa vitabu wa Soma

Wanawake wa kimasai wakiwasilisha maoni yao kwa wimbo na mabango
WADAU PICHA NI NYINGI SANA NAOMBA KWA LEO NIISHIE HAPA.

Majoy

2 comments:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...