Social Icons

Wednesday, October 12, 2011

BRIDAL SHOES

Bride in Black shoes n mixed with black wedding bouquet!!

Bride in Blue shoes

Katika pitapita zangu kwenye website mbalimbali nikakutana hii kitu ikani-insipire kwani ni aghalabu(Mara chache) kukutana na bibi harusi amevaa kiatu cha dark colours.Imezoeleka kwa brides kuvaa white/silver/cream colour of shoes lkn kwa wenzetu bi harusi aweza kuvaa viatu vya rangi ya wedding theme yao kama kwenye picha hapo juu.
JE WEWE MDAU WA MAJOY UNALIZUNGUMZIAJE HILO?  JE NI SAWA KWA BI HARUSI AKIWA AMEVAA VIATU SAWA SAWA NA RANGI YA HARUSI YAO?? TUPEANE USHAURI NA KUELEZEA KUTOKANA NA PICHA HAPO JUU MAANA PICHA NAMBA MOJA AMETIA FORA YEYE HADI BOUQUET INA RANGI NYEUSI LOL!!


2 comments:

  1. mmmhh viatu veusi hata mimi sijawahi kuona.ila kama mi ndo biharusi nitavaa viatu veupe au silva vinapendeza sana na shela.

    ReplyDelete
  2. MIE NI BIBI HARUSI MTARAJIWA NA RANGI YANGU NI RED N GOLD NA NINAPLAN KUVAA VIATU VYA GOLD SIKU YA HARUSI I HOPE SITACHUSHA

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...