Social Icons

Monday, October 31, 2011

YALIYOJIRI WEEK END - IJUMAA

Baada ya kazi nilikutana na marafiki zangu maeneo ya Mlimani City pale Mary Brown kwa ajili ya mazungumzo kidogo na kubadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali ya kimaisha.


Umeona heleni na top vilivyomatch??....hawt!!

Hata cjui kilichotuchekesha lol!!

Majoy na Esher my lovely age mate


Majoy na Rahabu

Rahabu na Hawa

Rahabu n Hawa ni marafiki ambao tunajuana kupita kiasi tulisoma wote shule ya msingi mpaka sekondari huko Mgeta vijijini.

Mwisho kabisa Ijumaa yangu ikaishia nyumbani kuangalia movie na kucheza na mwanangu hiyo ilikua mida ya saa tatu .kufika saa nne mtoto akalala na mi nikacheki movie mpaka saa kumi usiku then nikajilalia zangu.

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...