Social Icons

Tuesday, November 1, 2011

MASTAA,NDOA NA TALAKA


Hivi wenzangu mnalizungumziaje hili swala la mastaa kote ulimwenguni na hizi tabia zao za kufunga ndoa na kutalikiana baada ya muda mfupi? yaani huwa najiuliza je wanafunga sababu na wao wawemo kwenye list ya mastaa ambao wamewahi kuonja ndoa?? au kwa fashion kama wadada wengi sikuhizi hapa Bongo? au kwa sababu wamejiandaa na kujiona wako tayari kukabiliana na majukumu na changamoto za ndoa??
PENGINE NA WEWE UNA MTAZAMO WAKO KUHUSIANA NA HILI AU NA WEWE UNAJIULIZA KAMA MIMI HEBU TUSAIDIANE MAWAZO.
NINI CHANZO KWA MASTAA KUTODUMU KATIKA NDOA.

2 comments:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...