Social Icons

Friday, December 9, 2011

HAPPY 50YRS OF INDEPENDENCE TO ALL TANZANIANS.

NAIWATAKIE WATANZANIA WENZANGU POPOTE ULIMWENGUNI KHERI YA MIAKA 50 YA UHURU.
TUSHEREHEKEE KWA KUFURAHIA MAFANIKIO AMBAYO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE YAMEPATIKANA KWA JUHUDI ZA VIONGOZI WETU.
NDIO MAPUNGUFU YAPO LAKINI KIDOGOKIDOGO TUNASONGA NA IPO SIKU TUTAVUKA.
CHA MUHIMU KUFANYA KAZI KWA BIDII KWA KILA MTU KUSIMAMA KTK NAFASI YAKE ILI KULETA MAENDELEO KTK NCHI YETU.
TUPUNGUZE KULALAMIKA NA TUFANYE KAZI KWA BIDII.

MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.

TUMETHUBUTU,TUMEWEZA TUNAZIDI KUSONGA MBELE.

HAPPY INDEPENDENCE DAY MY FELLOW TANZANIANS- 50YRS!

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...