Social Icons

Tuesday, December 6, 2011

MY PRECIOUS VIEWERS/FOLLOWERS OF MAJOY BLOG

The big thing above all I want u all to know that I miss u so much. It's not easy for me to stay all these days without posting anything here but am too busy to de extent that I can't have even ten mins to post but believe me I miss u guys a lot.
Naomba muendelee kunivumilia kwa cku chache zijazo nimalizie mambo yangu then nitarudi turendelee kama kawaida. Nawaahidi kuwawekea yote mliyokosa kipindi hiki.
Asanteni sana kwa kuendelea kutembelea blog kila siku,msiache tafadhali tena waambie na wengine watembelee ili tufurahi na kujifunza pamoja.
Nawapenda sana na nathamini sana mchango wa mawazo yenu kupitia comments. Usisite kuandika chochote ilimradi usivunje sheria za nchi.
I wish u guys a happy Choose-day sijapata chaguo lolote bado nasubili hujachelewa nitumie email sasa: majoy28@yahoo.com

1 comment:

  1. ANAYEKUKATAZA KUKOMBA MBOGA UJUE ANAKUPENDA ANATAKA USHIBE .. PIGA HATUA ZA UHAKIKA KUELEKEA KUTIMIZA MALENGO YAKO, TUPO PAMOJA BEGA KWA BEGA TUKIKUOMBEA UFANIKIWE .. AMAN KWAKO.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...