Social Icons

Sunday, February 19, 2012

Nani ni Mtu wako wa mfano??(Who's Your Role Modal?)

Oprah
Katika maisha kila mtu ana mtu wake wa mfano...wangu ni huyu natamani sana mafanikio yake ndio maana nafanya kazi kwa bidii nikitumia kila fursa ya maendeleo kuhakikisha nafanikiwa japo kumfikia sio kazi ndogo ila najipa moyo ipo cku ulimwengu mzima utajua Joyce Mahila ni nani Ee Mungu nisaidie......Je wewe msomaji wangu mtu wako wa mfano ni nani??? Tutumie email utuambie.
Yes Oprah....she is my inspirational in everything she's doing she inspire me...i love her and i dream to be successful like her.

Everyone in life have a role modal? who's yours??? 

Tell us via majoy28@gmail.com

Wish u all a good Sunday.

Majoy.


2 comments:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...