Social Icons

Thursday, March 29, 2012

Anaetupambia Leo.....Anaitwa Durry Haidar Anaishi na kufanya kazi Zanzibar
Je na wewe ungependa kupamba blog yetu kwa picha yako?? Kama jibu ni ndio tuma picha na maelezo mafupi kwa majoy28@gmail.com au ni-inbox kwa facebook page yangu Joyce Mahila/Majoyy.
 
 

3 comments:

  1. Kapendeza mkaka,majoy na mi nataka kupamba blog nitakutumia picha.

    ReplyDelete
  2. Absolutely handsome indeed!!

    ReplyDelete
  3. Majoy muulize huyo kaka kaoa?nimempendajee??

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...