Social Icons

Thursday, May 17, 2012

R.I.P PATRICK MAFISANGO


Pole kwa Timu ya Mpira wa Simba, familia na wamshabiki wote wa Simba kwa kumpoteza mchezaji wao.
Nimehuzunika sana.Mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Simba nilipata mshtuko baada ya kusikia habari hizi.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.Amen.No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...