Social Icons

Thursday, May 24, 2012

JOHN MNYIKA ASHINDA KESI YA UCHAGUZI JIMBO LA UBUNGO....

John J. Mnyika ameshinda kesi dhidi yake! Hawa Nghumbi atatakiwa kulipa gharama zote za kesi kama ilivyoamriwa na Mahakama....Mahakama yatupilia mbali mastaka yote matano dhidi ya Mnyika.
3 comments:

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...