Social Icons

Monday, July 23, 2012

UNATAKA KUJIUNGA NA FREEMASSONS?? SOMA HAPA....


Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,kutoka Clouds FM Gerald Hando akitaka kufafanuliwa jambo kwa undani kuhusiana na mambo ya Freemasons na Sir Andy Chande.
Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,kutoka Clouds FM Gerald Hando nyumbani kwake kuhusiana na mambo mbalimbali yahusuyo Freemasons,ambayo hivi karibuni yalizua mtafaruku mkubwa miongoni mwa sehemu ya jamii.
Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akifanya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,Gerald Hando nyumbani kwake kuhusiaa na mambo mbalimbali yahusuyo Freemasons,ambayo hivi karibuni yalizua mtafaruku mkubwa miongoni mwa sehemu ya jamii.

"Huyu ndie Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande,na hapa nikiwa nae nyumbani kwake Ukitaka kujua mengi au kujiunga nitafute tu..kumbe ni tofauti kabisa na watu wanavyozungumzia. I love them... lol.....Kwa wale wanaotaka kujiunga nitafuteni niwape masharti ya ukweli badala ya zile stori za mitaani" Simalenga Simon.

Chanzo na hakingowi

6 comments:

 1. maana siku hizi Dar imekuwa ni wimbo, kila mtu ni free masons, duh waende wakapate shule sasa

  ReplyDelete
 2. Wamezidi kwa kweli hatuli vikashuka kila kukicha freemasson freemasson my foot!,

  ReplyDelete
 3. usifanikiwe aaah yule freemanson na kwa bahati mbaya itokee ndani ya family utokee msiba utawasikia we siunaona jamaa kamtoa ndg yake sasa ana gari,masikini ya mungu kumbe kigari chenyewe ni cha mkopo

  ReplyDelete
 4. i want to join with them but sijuwi nianzie wapi plz nahitaji maelekezo send to me through my email jajialan@gmail.com

  ReplyDelete
 5. duuu i wana join wat can i do

  ReplyDelete
 6. Hakuna wa kawaida anaeweza kujoin free massons acheni kujidanganya

  ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...