Social Icons

Tuesday, August 14, 2012

ANGELA CAKES.....

Angela Cakes ni wataalamu wa kupika cake nzuri kwa mahitaji yako wakati wowote iwe Harusi,Ubarikio,Ubatizo,Send Off na Kitchen Party bila kusahau Birthdays
Baadhi ya picha za cake ambazo wanatengezeneza na nyingine nyingi kama utakavyotaka wewe mteja utengenezewe...
Jipatie hii kwa ubarikio ,grauation au hata Birthday inapendeza
Hii ni maalum kwa harusi au Send Off
Hii waweza itumia pia hata kwa Kitchen Party
Kuwasiliana nao wapigie simu kwa namba zifuatazo:- 
0782 297408 na 0713 297408

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...