| Alizeti hiyo imestawi vizuri kama unavyoona |
| Nyanya hizi nilizipenda sana ni mbegu nzuri inazaa kwa vifungu kama zabibu |
| Watu walikua ni wengi sana |
| Vitendea kazi |
| Hili Banda la wamama wa wanaofadhiliwa na shirika la World Vision Tz lilikua zuri kuliko yote |
NA HUU NDIO MWISHO WA MATUKIO NA PICHA NILIZOFANIKIWA KUPIGA NILIPOTEMBELEA MAONYESHO HAYO YA WAKULIMA NANE NANE MWAKA HUU 2012.


ULI ENJOY DEAR, MIMI MWAKA HUU 7 7 NA 8 8 ZIMENIPITA KUSHOTO KABISA
ReplyDelete