Social Icons

Thursday, August 9, 2012

BAADHI YA PICHA NILIZOFANIKIWA KUPIGA JANA KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANE NANE (PEASANTS DAY 8-8) - MOROGORO

Nilizipenda sana hizi nyanya zinavutia kwa kweli imagine ziko shambani kwako....rahaaa!!
Mama yangu na shemeji yake(Baba mdogo Kihulla wa Mtibwa Sugar)
Wa kwanza kushoto ni mamamdogo mdogo wake mama kabisa
Majoy na family
Shamba la mfano la mahindi yaliyokomaa
Banda la SEED.CO wataalamu wa kutayarisha mbegu bora za mazaoNdizi hiyo ikiwa imestawi vizuri kabisa
Kabichi(cabage) safi kabisa


Nyanya 


Mamangu na mdogo wake wakishangaa kabichi ilivyokubali kitaluni!!!
Jojo mwenyewe aka mama kilimo kwanza  kwenye shamba la mfano la mahindi

PICHA ZAIDI ZINAKUJA KEEP ON VISITING OR JUST REFRESH YOUR PC AFTER SOME TIME...

THANKS 

4 comments:

  1. Joy hongera sana blog inazidi kupendeza,nafurahi vile hujihusishi na bafifu yasiyo na maana kama blogi zingine.keep moving mwaya tunakupenda.

    ReplyDelete
  2. Majoy nakupendaga tuu yani hasa hilo tabasamu mmh nawishi ungekua mke wa kakangu nikuone kila siku.

    ReplyDelete
  3. ASANTENI SANA WAPENDWA ENDELEENI KUVISIT BLOG NA MUNGU AWABARIKI LENGO LANGU NI KUELIMISHANA NA KUHABARISHANA NA WAKATI MWINGINE TUBURUDIKE.

    ReplyDelete

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...