Walter akiwa amebeba sanduku lenye zawadi ya mshindi kiasi cha 50M |
Walter na Salma wakisubili kutangazwa kwa mshindi kati yao |
Kwa kweli huyu kijana alistahili ushindi, ila mimi binafsi napenda
sana Guitar na Salma alikua anani-impress sana.Ila all in all majaji
walikua fair sana.
Hongera sana Walter nakuombea Mungu akupe hekima na busara ili utumie
hizo pesa vizuri na zikunufaishe.Kama unaamini usisahau kutoa sadaka
ya shukrani kwa jinsi itakavyokubariki.
Picha shukrani kwa Global Publisher
--
Majoy
No comments:
Post a Comment
Thank you for your comment