Social Icons

Wednesday, November 7, 2012

HONGERA SANA RAIS OBAMA KWA USHINDI...


Natamani siku moja Siasa na Wanasiasa wa Tanzania wawe kama Wamarekani.

Natamani pia Tume ya Uchaguzi ya Tanzania ingekua kama ya Marekani.

Hongereni Wamarekani wote popote Ulimwenguni kwa kumaliza uchaguzi kwa amani.

Ni kutamani tu sina la zaidi!!!!!

--
Majoy

No comments:

Post a Comment

Thank you for your comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...