Marehemu akiwa kwenye jeneza pamoja na kichanga chake....so sad |
Yani hii habari imenisikitisha sana nakunifanya nitokwe na
machozi.Simfahamu huyu dada ila imeniuma kama mama,mwanamke mwenzetu
amefariki wakati anataka kuleta uhai duniani,Inauma sana.
Mungu tusaidie sisi wanawake ulimwenguni kote hasa Afrika hali
inatisha yani siku hizi ukiwa mjamzito ni mtihani,tumwombe sana Mungu
atusaidie katika hili.
**Picha na Kajunason Blog**
Kusoma zaidi habari hii na Picha Ingia www.kajunason.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Thank you for your comment