MUNGU AWAJALIE HERI NA BARAKA ZITAKAZOAMBATANA NA SIKU HII YA LEO.
UJUMBE WANGU KWENU WAFUATILIAJI WA BLOG HII....FANYENI KAZI KWA
BIDII,ACHENI KUTAMANI MAISHA MAZURI BILA KUFANYA KAZI KWA KUTAKA
KUTUMIA NJIA ZA MKATO.
MCHANA HUU NIMEPOKEA SIMU TOKA KWA MFUATILIAJI WA POST ZETU HUMU
AKINIOMBA NIMSAIDIE KUJIUNGA NA FREEMASSON!!...NIMESHANGAA NA KUOGOPA
SANA.ETI SABABU YA KUTAKA KUUNGANISHWA NA FREEMASSON NI UGUMU WA
MAISHA....
RAFIKI YANGU TOKA SUMBAWANGA NAOMBA UFUATE USHAURI NILIOKUPA,FANYA
KAZI KWA BIDII NA KUMWOMBA MUNGU KWA IMANI YAKO ILI AKUFANIKISHE
KATIKA KILA UTENDALO KATIKA MAISHA YAKO NA UTAONA MAFANIKIO.
HAKUNA SHORT-CUT KWENYE SAFARI YA MAFANIKIO.
MUNGU AWABARIKI SANA.
JUMAPILI NJEMA.
nawe pia mpendwa
ReplyDeleteTHANKS DEAR,MISS U....PLANNING TO VISIT YOU SOON.@ESTER
ReplyDeleteasante sana dada yangu.nitafanya kama ulivyonambia.
ReplyDelete